GENZs DON’T DARE ME KESHO HAKUNA MANDAMANO CBD NAIROBI!!!



Thanks for watching Azibest media please remember to subscribe, share, like and leave your comments …

41 Comments

  1. Ata pharaoh alikuwa kichwa ngumu sana kwa mungu kwa kuwachilia wana wa Israel kutoka misiri baadae mungu alipiga pharaoh pigo ile kali sana ndio akaachilia wana wa Israel baadae jeshi lake likaangamia ndio iyo sasa ruto anaenda kupata kichapo kikubwa sana kutoka kwa mungu wacha tumpe muda akidhani ye ni mawe sawa

  2. Wapumbafu nyinyi munabomowa inchi yenu juu ya Uhuru mwenye alisha kuwa bilionnaire. Maisha magumu hajaletwa na Ruto ameanza myaka kaza. Sema munamuonea juu kabili yake chache nahayijawayi tawala.

    Ila minority ikasirika hayirudi nyuma mutapigwa hela zenye mumepewa mutazitapika.

  3. Wewe ujui ata mahali upo, okanga, wacha nikuerevushe kidogo.
    Kwani wewe ni mjinga kiasi gani unaunga mkono watu usiowajuwa, hi ata kwa yeyote anataka badiliko kwenye nchi na yupo mafichjoni na humjui, pumbavu tu atakae mshabikia.
    Yote wanayo ya Sema Yana tuhusu kweli, lakini hatuwajui, mtanyongwa na ujinga wenu kenya.

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*