50 Comments

  1. Ruto all this will calm down eventually but we will never forget ,, you are probably to win against the citizens who elected you, but you are already dead in our heart,, no amount of development can bring back the lives you claimed,,

  2. wacha niwa kate hili sio bunge letu ni bunge ya ruto na hikiwa wana kutana hio ni mkutano yao mkutano bora ni ruto atangaze kuji uzulu sasa hivi kwa mfano tuko na kazi gani na wabunge tume choka na bunge naweza sema ni ujinga mtupu kwa vile amuwezi huwa watu kisha tena mna enda kupanga njama na ruto tena mme toa ujinga kwa mfano tuna taka ikiwa ushuru ata chukua kazi lazima tuseme atuna bunge kwa vile bunge na ruto ni watu moja sasa hivi watu muache ujinga kwa mfano hio kiokao ni kikao ya supu kwa mfano sufuria supu ya vijana ime chemuka sasa twende tu kunyue hio ndio hio kikao kwa mfano ruto aji uzulu kwa mfano uhuru ana weza leta hili taifa pamoja na tuanze kutarisha tume kwa sasa kitu chochote kutoka kwa bunge ni ujinga kwa mfano angalia wali kuwa na nafasi nzuri ya kutoa mswada waka fuata ruto sasa tena ule ruto ana sema enda toa kwa ukweli mbele ya mungu hii sio bunge ni kundi ambalo lina tumiwa na ruto kwa uthalimu kwa mfano ruto jiuzulu kwa sasa kitu ambacho tuna taka sio msamaha kwa mfano aliwa hola msamaha akauwa nyanza kibera na sasa hivi watu wengi wako kwa viumba za maiti lakini mna sema ni watu ishirini hio wacha tume kataa kitu ambacho kiko hapa atuwezi eshwa na mikora kwa mfano bunge waende wacha likizo atuki kitu bunge kwa hili taifa tuna ita uchaguzi na sio bunge

  3. Wallahii huki handika kazi mwizi ni shida hata kunyaganya paka bibi ndio hiyo ZAKAYO hana tufanya Ametunyaganya paka mabibi ma women rep mingini mabibi yake So hii jamma paka 😢 hametukosea sana kenya Zakayo must go😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭MUST GOOOOOOOOOOOOOO

  4. Not having a one leader means we should not repeat the same method of electing a single leader to speak on everyones behalf which is the terrible mistake we've always done in this beloved nation, everybody is a leader period because everbody should serve each other thats what we term as EQUALITY NO SUPERIORITY!

  5. I have just spoken to a Haitian in Port-au-Prince and he told me that there are people dancing on rooftops mocking Ruto. They’re saying Kenya is burning while Ruto is busy involving himself in Haitian’s matters.

  6. Where on earth one of the government over looks the other arm of the government.Already the implies that the legislature has done matope . What next for this parliament i think the president has the worst incompetent and unwise advisors.

  7. Now people's voice has become priority and already we ,ve spoken then next we would see resignations from topmost boss that is executive down words before waiting people to mpeach you directly.

  8. Viogozi wadini ususani wakristo nivibqraka ju mtu anafanya maovu then yuakimbilia uko mbona amuwakatazi au kukemea mkipewa pesa mwapiga makofi na wao…..kuweni kama viogozi wa dini na si Tamaa zenu….😮

  9. What a shame, deploying the army against your own children! God changes the times and the seasons; He removeth kings and set up kings; He giveth wisdom to the wise and knowledge to them who know understanding. Daniel 2:21

  10. Wakenya hawatak muswada huo tena wa financial bill wao wanatak Ruto aondoke…Na vifo ndio vinamuondosha na kuamuru jeshi kuzuia wadai haki zao kwa kuwaita wahaini…..Yan bill yenyew inakemewa saiv umetoa hiz trucks na gar zingin za kijeshi…mafuta hapo yanatumika…uharibifu wa miondombinu pesa inatumika…hospitalin dawa na matibab mengin pesa inatumika…somet lazima ufikir mbal kabla kutenda au kuacha jambo litokee

  11. Ndio Huwa nasema Narcissist are fragile, unaona yale majeshi ruto ametuma, cowards of high level, uwoga ameona polisi vitengo vyote hawawezi the peoples power.. ata KDF hawawezi peoples power . Tukiamua tunatoa ruto na wenzake hivyo hivyo… Kenya ni yetu .. generations ya Ruto wame Expire.

  12. the church went to bed with the government – they receive brown envelopes every week so they cant correct the government – priests and prophets should not eat on the same plate – they are 2 different arms of Gods

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*