20 Comments

  1. Ndugu morara hope uko fiti kwa uwezo wa MUNGU,kuja huku taita taveta,Kuna bara bara ukitoka Naiobi upitie email loitoktok lami imeishia mahali kunaitwa illasti ukielekea taveta town,walijenga yard wakaleta tinga zikaondolewa yard Iko hivo tu barabara ni shamba vumbi mbovu ajabu jaribu ufike tujue walikula millioni ngapi za umma,tafadhali

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*