Protesters chant “ametuma wezi” along Moi Avenue, Nairobi CBD August 1, 2024 admin CBD 12 Protesters chant “ametuma wezi” along Moi Avenue, Nairobi CBD.
Wezi wenzake
Kiburi juu, uwongo kibao, mauwaji ndio zake, zakayo ashuke au aende
I love this we are taking back our country
woi
THIS GUY MUST GO
Ndio wao wanaimba na nyinyi hapo,hamjielewi.
Mbona unatuma wezi sasa mambo bado hawa wezi hatuwataki hapa tena🐒🐒
Zakayo ametuma weziiiiiiiiii
Ametuma wezii
sikuhizi hata you can't be a goon for hire 😂😂😂
Unstoppable team😂😂😂😂 Genzs☝️☝️🇰🇪🇰🇪😛
Hahahahaha…..kenya bana