THEFT IN NAIROBI CBD AND LUTHULI AVENUE March 4, 2024 admin CBD 5 SUPPORT IKO NINI THROUGH CASHAPP $IKONINI BECOME A MEMBER FOR EARLY ACCESS & EXCLUSIVE CONTENT: …
Jana nilibuy tv luthuli nkaambiwa after kulipa ati nafaa kulipa account ya tv tena for 11k yet nishalipia tv. and the guys wali insist. I had to argue for almost an hour ndio wanirudishie pesa. wezi in gucci shits Reply
Hiyo story ya kubebewa nimepigwa character development mbaya. Skuizi afadhali nitembee 1 metre nikipumzika na mzigo yangu kuliko kupea msee anibebee. Reply
zac kwani alienda wapi?
ati Nyamakima the land of?
Nimeshtuka manze nlimeskia sauti ya io sauti ya Zac nikadhani ako area😂
Jana nilibuy tv luthuli nkaambiwa after kulipa ati nafaa kulipa account ya tv tena for 11k yet nishalipia tv. and the guys wali insist. I had to argue for almost an hour ndio wanirudishie pesa. wezi in gucci shits
Hiyo story ya kubebewa nimepigwa character development mbaya. Skuizi afadhali nitembee 1 metre nikipumzika na mzigo yangu kuliko kupea msee anibebee.